Monday, June 17, 2013

TANZANIA YAPOKEA KICHAPO CHA MAGOLI 4 KWA 2 DHIDI YA IVORY COAST

 

 Kiungo machachari wa Taifa Stars,Mwinyi Kazimoto akiwachachafya mabeki wa Timu ya Taifa ya Ivory Cost,wakati wa mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu kucheza Kombe la Dunia,uliomalizika hivi punde kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Taifa Stats imefunga bao 4-2.
 Amri Kiemba wa Taifa Stars kiondoka na mpira.
 Golikipa wa Timu ya Ivory Cost,Barry Boubacar akidaka mpira ukiokuwa umepigwa na Mshambuliaji Machachari wa Taifa Stars,Thomas Ulimwengu.
 Mshambuliaji Machachari wa Taifa Stars,Thomas Ulimwengu akiondoka na mpya huku mabeki wa timu ya Ivory Cost wakimfuata kwa kasi ya ajabu bila ya mafanikio.Mpira umekwisha muda mfupi uliopita na na Matokeo ni Taifa Stars 2-4 Ivory Cost.
Kiungo wa Kimataifa kutoa Ivory Cost,Yaya Toure akijaribu kutaka kumtoka Beki  wa Taifa Stars,Frank Domayo wakati wa Mchezo huo uliopigwa jioni ya leo  kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

 Imepigwaaaa moojaaaaa paleeeeee Gooooooooo...... Daaahhhh,inakenda nje.Picha Kwa Hisani ya Michuzi Blog

No comments:

Post a Comment