Friday, July 12, 2013

"MCHEZO WA KIARAFIKI KATI YA YANGA NA RHINO HAIJAWAHI KUTOKEA"

 
Mkuu  wa  mkoa  wa  Tabora  Fatma  Mwassa  akishika  kikombe cha  Mabingwa  wa  Ligi ya  Vodacom Tanzania  Bara  2012-2013  Dar Young African  ilipokuwa  katika  ziara  yake  mikoa  ya  Kanda ya  ziwa,hapa  ni  Uwanja  wa  Ali Hassan  Mwinyi  mjini Tabora  ambapo  mabingwa  hao  walicheza  mchezo  wa  kirafiki na timu  ya  Rhino  Rangers  ya  mkoani  Tabora.kushoto ni  Mwenyekiti  wa  Chama cha  mpira wa miguu  mkoa  wa  Tabora  Yusuph Kitumbo.
Mmoja  kati  ya  watangazaji  wa  Redio  CG FM ya  mjini  Tabora  akitangaza  mpira  huo kati  ya  Yanga  na  Rhino.
Kikosi  cha  Mabingwa Ligi  kuu  ya  Vodacom  Tanzania  bara  2012-2013  wakiwa  katika  picha  ya  pamoja  kabla  ya  kucheza  Maafande  wa  JWTZ  Rhino ya  Tabora  katika  uwanja  wa  Ali  Hassan  Mwinyi.
Wapenzi wa  Yanga   ambapo walikuwa mstari wa  mbele kuishangilia  timu  yao katika Uwanja  wa  Ali  Hassan Mwinyi.
Mshambuliaji wa Rhino akijaribu  kukabiliana  na  mchezaji  wa Yanga
Baadhi  ya  wadau  wa  soka  mkoani  Tabora  wakiwa nje ya  uwanja  wa  Ali  Hassan  Mwinyi  wakipanga  foleni  kuingia  ndani  ya  uwanja  kushuhudia Mechi  hiyo iliyokuwa  kivutio  kikubwa  kwa  wapenzi  wa  soka.  
Yanga  DAMU

No comments:

Post a Comment