Saturday, July 13, 2013

POLISI NA BODABODA TABORA WAIMARISHA USHIRIKIANO WAO


Viongozi ngazi ya juu wa Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora katikati ni Rpc wa Tabora  ACP Peter Ouma pamoja na viongozi wa Chama cha waendesha Bodaboda Tabora baada ya kutoka kwenye kikao cha majadiliano ya kuimarisha Umoja na mshikamano baina ya pande hizo mbili.

No comments:

Post a Comment