Ndege aina ya Airbus A319 ambayo
itaanza safari zake tarehe 29 Novemba 2012 kwa safari za kutoka Dar es
Salaam-Mwanza,Dar es Salaam kwenda Kilimanjaro. Na kiwango cha chini cha
Nauli kitakuwa ni kiasi cha Shilingi za kitanzania 32,000/- kwa tiketi
ya Kwenda peke yake.
Baadhi ya Abiria ambao walipata
fursa ya kufanya majaribio ya safari ya Ndege ya Airbus A319 ya Shirika
la ndege la Fastjet wakiwa ndani ya Ndege hiyo kabla ya Kuruka kuelekea
Zanzibar kama sehemu ya Uzinduzi wa Ndege hivyo. Safari za ndege hiyo
zitaanza rasmi tarehe 29 Novemba 2012 kwa safari za kutoka Dar es
Salaam-Mwanza,Dar es Salaam kwenda Kilimanjaro. Na kiwango cha chini cha
Nauli kitakuwa ni kiasi cha Shilingi za kitanzania 32,000/- kwa tiketi
ya Kwenda peke yake.
Mmoja wa Wahudhumu wa Ndege ya
shirika la Ndege la fastjet akiwaonyesha abiria namna ya kujifunga
mikanda kabla ya Ndege kuondoka.Ndege hiyo itakuwa ikifanya kwa safari
zake kutoka Dar es Salaam-Mwanza, Dar es Salaam kwenda Kilimanjaro.
Baadhi ya abiria wakishuka katika
Ndege ya Shirika la Ndege la fastjet ambalo safari zake zimezinduliwa
leo na zitaanza safari zake rasmi tarehe 29 Novemba 2012. Ndege hiyo
itafanya safari zake za kutoka Dar es salaam-Mwanza, Dar es
Salaam-Kilimanjaro.
Naibu Waziri wa Wizara ya
Uchukuzi,Dk. Charles Tizeba, akitoa hutuba yake wakati wa Uzinduzi wa
Safari za Ndege ya shiirika la Fastjet leo jijini Dar es Salaam. Ndege
hiyo aina ya Airbus A319, itaanza safari tarehe 29 Novemba 20120 na
itakuwa ikifanya safari zake kutoka Dar es Salaam-Mwanza,Dar es Salaam
kwenda Kilimanjaro.
Naibu Waziri wa Wizara ya
Uchukuzi,Dk. Charles Tizeba (aliyevaa tai nyekundu), akibadilishana
mawazo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya fastJet, Bw. Edward Winter
kabla ya uzinduzi wa Ndege ya Shirika hilo leo jijini Dar es Salaam.
Kushoto kwa Naibu Waziri wa Uchukuzi ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Usafiri wa Anga(TCAA), Bw. Fadhili Manongi.
No comments:
Post a Comment