Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa marehemu baada ya akitoa
heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla
ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara
mbalimbali
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa
marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa
Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali. Hapa ni nyumbani kwa marehemu Makweta
Bunju.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi kwenye kitabu cha maomboleza
alipofika kutoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson
Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri
katika wizara mbalimbali
Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa
marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa
Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali
Makamu wa Rais Dkt Ghalib Mohamed Bilali akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga
mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata
kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali
Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa
marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa
Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment