![]() |
| MTOTO ANETH KATIKATI NA MAMA YAKE KULIA WAKIINGIA ENEO LA MAHAKAMANI LEO |
![]() |
| WILVINA MKANDALA ANAETUHUMIWA KWA KUMUUNGUZA NA KUSABABISHA KUKATWA KWA MKONO WA MTOTO ANETH AKIINGIZWA MAHAKAMANI HUKU AKIWA HATAKI KABISA KUPIGWA PICHA |
![]() |
| WAKAZI WENGI WA JIJI LA MBEYA NA VITONGOJI VYAKE WAMEJITOKEZA KWA WINGI KUJA SIKILIZA KESI HIYO |
![]() |
| MTOTO ANETH AKISALIMIANA NA MAMA ALIYEMUHUDUMIA HOSPITALINI KABLA YA MAMA YAKE MZAZI KUJA TOKA BUKOBA |
![]() |
| MTOTO ANETH MARA TU BAADA YA KUTOKA KATIKA CHUMBA CHA MAHAKAMA AKISUBIRI KURUDISHWA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA KUENDELEA NA MATIBABU |
![]() |
| HUKU AKINA MAMA WAKIWA NA JAZBA YA KUTAKA HAKIMU AWAACHIE KIDOGO JAPO KWA DAKIKA TANO WAMFUNZE ADABU MTUHUMIWA HUYO KWANI WANADAI AMEWADHALILISHA SANA KWA KITENDO HICHO CHA KUMTESA MTOTO ANETH |
![]() |
| WANAHASIRA HAO YAANI KAZI IPO |








No comments:
Post a Comment