Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika
mkutano wa hadhara uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid
mjini Arusha leo (Picha na Bashir Nkoromo)
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape akisalimiana na Lowassa Uwanja wa Ndege
wa Arusha. Kushoto Katibu wa CCM mkoa wa Arusha Mary Chatanda
Pikipiki zikiongoza msafara wa Kinana, kutoka Uwanja wa Ndege wa Arusha
Kinana akifungua shina la wakereketwa wajasiriamali wa CCM la Nguruma, Arumeru, Arusha
Kikundi cha Ngoma ya Kimasai kikitumuiza katika mkutano wa Meru, Arusha
Kinana akisalimia wananchi baada ya kuwasili uwanja wa Usa River kuhutubia mkutano wa hadhara
Nape akizungumza jambo la Lowassa kwenye mkutano wa Kinana uliofanyika Usa River, Arusha
Wazee
wa Kimeru, wakimkabidhi vitendea kazi vya jadi, Katibu Mkuu wa CCM,
Kinana katika mkutano uliofanyika Usa River, Arusha. Anayemkabidhi ni
Ezrom Sumari.
Kinana
akiwa na zana za jadi alizokabidhiwa kwa heshima yake na wazee wa Meru,
katika Mkutano wa CCM uliofanyika Usa River, Arusha
Mzee
Wilson Meng’atu akimvisha vazi la heshima Nape Nnauye kama ishara ya
wazee wa Kimeru kutambua upambanaji wake katika kujenga Chama, wakati wa
mkutano wa Usa River, Arusha
Wazee wa Kimeru wakimvisha Wasira vazi la jadi kuheshimu mapambano yake katika ujenzi wa Chama
No comments:
Post a Comment