Friday, January 4, 2013

WADAU WA SOKA TABORA WAITAKA TIMU YA RHINO KUFANYA VIZURI KUWANIA NAFASI YA KUCHEZA LIGI KUU


 Mwenyekiti wa Chama cha mpira wa miguu mkoani Tabora Yusuph Kitumbo akizungumza na wachezaji wa timu ya Rhino wakati wa hafla fupi ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2013 ambapo Kitumbo aliwataka wachezaji hao kujibidiisha katika michuano ya kuingia ligi kuu Tanzania Bara.
 Baadhi ya wachezaji wa timu ya Rhino wakiwa katika hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Muungano Mess Tabora.

No comments:

Post a Comment