Thursday, September 13, 2012

LUMBESA YA MABASI MKOANI TABORA, MATRAFIKI MKO WAPI?

Basi lenye namba za usajili T329 AMD likiwa limesheni mizigo kuliko uwezo wake likielekea Itigi. Basi hilo lilikuwa likisafiri katika barabara ya Tabora-Itigi-Manyoni mwishoni mwa wiki iliyopita kama lilivyokutwa  karibu na stesheni ya reli ya Kazi-Kazi. Picha na Irene Bwire

No comments:

Post a Comment