Baadhi
ya wanawake waishio katika vijiji vya Mwamsonga vinavyodaiwa kuwa ndani
ya eneo la hifadhi ya Nyahua kati ya wilaya za Sikonge na Uyui mkoani
Tabora wakiwa wamefikishwa mahakama ya hakimu mkazi Tabora wakituhumiwa
kwa makosa matatu likiwemo la kuingia ndani ya hifadhi na kuweka makazi
yao humo,watuhumiwa hao ambao idadi yao ni 26 leo wanapandishwa tena
kizimbani kusomewa hukumu ya kesi inayowakabili chini ya hakimu mkazi
Jocktan Rushwela baada kupatiwa maelezo ya kesi kutoka kwa mwanasheria
wa Serikali Miraji Kajiru.
Watuhumiwa wengine katika kesi hiyo ya kuingia katika hifadhi ya misitu ya Nyahua kinyume cha sheria ya misitu namba 14 ya mwaka 2002 kifungu cha 84(1)(a) na (5).
Watuhumiwa wengine katika kesi hiyo ya kuingia katika hifadhi ya misitu ya Nyahua kinyume cha sheria ya misitu namba 14 ya mwaka 2002 kifungu cha 84(1)(a) na (5).
No comments:
Post a Comment