Baadhi
ya watumiaji wa nishati ya mafuta ya Petrol mjini Tabora wakiwa katika
foleni ambayo inadaiwa kuanza mnamo majira ya saa kumi alfajiri ya
leo,bidhaa ya mafuta ya Petrol mkoani hapa imeadimika kwa zaidi ya siku
saba huku ikizidi kuleta usumbufu mkubwa kwa watumiaji wa vyombo vya
usafiri wa moto vinavyotumia nishati hiyo...Picha na Mrisho Juma - 0754
998680 au 0783 626771. |
No comments:
Post a Comment