Wajumbe wa Jukwaa la Katiba wakiwa na wanahabari
mjini Dodoma wakati wa hafla ya kukabidhi jezi za michezo kwa timu ya
Bunge chini ya nahodha wake Mhe. Idd Azzan, Mbunge wa Kinondoni.
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda
akimkaribisha Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan (Bunge) Mhe.
Hirotami Murakoshi kwenye chakula cha jioni Dodoma Hoteli. Waziri
Murakoshi yupo nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi.
Mhe. Azzan Zungu (kushoto), Mbunge wa Ilala na Mwenyekiti wa Bunge akitoa ufafanuzi wa yaliyotokea siku alipotuhumiwa kutoa rushwa mjini Dodoma. Ameuhakikishia umma kwamba hilo si kweli.
Mhe. Azzan Zungu (kushoto), Mbunge wa Ilala na Mwenyekiti wa Bunge akitoa ufafanuzi wa yaliyotokea siku alipotuhumiwa kutoa rushwa mjini Dodoma. Ameuhakikishia umma kwamba hilo si kweli.
Katibu wa Bunge Dkt Thomas
Kashillilah (kulia) akiwakaribisha na kuwafunda waajiriwa wapya 19
walioajiriwa hivi karibuni katika ofisi ya Bunge.Picha Na
Prosper Minja
No comments:
Post a Comment