SWAHILI
FASHION WEEK 2012 AWARDS NOMINEES
THE
LARGEST FASHION AWARDS IN EAST AND CENTRAL AFRICAN COUNTRIES IN ITS SECOND
TIME
VOTE FOR
YOU FAVOURITE FASHIONISTA OF THE YEAR
The
largest and leading fashion event in East and Central Africa, Swahili Fashion
Week has officially announced the nominated names and voting process for the
SWAHILI FASHION WEEK AWARDS 2012 (SFWA).
Following
the great success of last year, the Swahili Fashion Week Awards 2012 to remark
fifth anniversary has undergone exciting development resulting in the addition
of 3 new categories to existing ones from last year; thus increasing the number
of categories to 15 from 12 last year.
The
categories of this year include: Best Male Model, Best Female Model, Best East
African Model (New), Designer of the Year, East African Designer of the Year,
Redd’s Stylish Female Personality, Stylish Male Personality, Innovative
Designer, Best Men’s Wear, Fashion TV Program of the Year (New), Vodacom Fashion
Blog of the Year, Fashion Photographer of the Year, Fashion Journalist of the
Year, Best East African Journalist (New), Upcoming Designer.
The voting
process is powered by Push Mobile where by voter has to vote by writing
Nominee’s code to 15678 and all votes will be audited by PKF. The winners of
these awards will be announced on the third day of Swahili Fashion Week,
Saturday 8th December, 2012 at Golden Tulip Hotel, Dar es salaam,
Tanzania.
Also
people can vote via the special Swahili Fashion Week voting Blog 2012 on www.sfw2012awards.blogspot.com
Swahili fashion week 2012
has been sponsored by Vodacom, USAID Compete, Origin Africa, EATV, East Africa
Radio, Golden Tulip Hotel. Amarula, Precision Air, 2M Media, Global Outdoor Ltd,
Vayle Springs Ltd, Eventlites, Ultimate Security, BASATA (Baraza La Sanaa Taifa),Strut It Afrika, Ndibstyles, PKF Tanzania,
DARLING, PUSH Mobile, DarLife, Century Cinemax and 361
Degrees.
Swahili Fashion Week
is the largest annual fashion platform in East and Central Africa, to
date. Now In its fifth year, Swahili Fashion Week is now
the platform for fashion and accessory designers from Swahili Speaking Countries
and the African continent to showcase their talent, market their creativity and
network with clientele. This is all aimed at emphasizing to the region that fashion is an income generating creative industry,
whilst promoting "Made in Africa"
concept.
Having initiated a dynamic and promising
platform for the fashion industry in the region, Swahili Fashion Week is now geared
towards being the most sought out
after fashion platform in Africa for
the international market founded, created and conceptualised in year 2008 by
Mustafa Hassanali.
As of 2013, Swahili Fashion Week will be
a Bi-Annual Event, with Kenyan Edition to be Held during the first Half of the
year and the Main event to be held in the later half, in
Tanzania.
For more information:
LIKE us on www.facebook.com/ swahilifashionweek
FOLLOW us on www.twitter.com/swahilifashion
PIN us on www.pinterest.com/ swahilifashion
INSTAGRAM us on www.instagram.com/ swahilifashionweek
BB Pin us on: 2380CDB6
BLOG with us on www.swahilifashionweek. blogspot.com
VISIT us on: www.swahilifashionweek.com
TUZO KUBWA
ZA MITINDO KATIKA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI NA KATI ZA SWAHILI FASHION WEEK
KUFANYIKA TENA KWA MARA YA PILI
WASHIRIKI
WA TUZO ZA SWAHILI FASHION WEEK 2012 WATAJWA
CHAGUA
MWANAMITINDO NA MBUNIFU BORA 2012
Wandaaji wa Tuzo kubwa za mitindo katika ukanda wa Afrika
mashariki na kati wametangaza majina ya waliopendekezwa kushiriki katika kuwania
tuzo mbalimbali za Swahili Fashion Week 2012 ikiwa pamoja na njia zitakazotumika
kuwapigia kura washiriki wa tuzo hizo.
Kufuatia mafanikio makubwa yaliyopatikana katika tuzo za
mwaka jana, Tuzo za Swahili Fashion Week 2012 zinazoendana na kusherehekea miaka
mitano tangu kuzaliwa kwa onyesho hili kubwa la mitindo Afrika Mashariki na kati
mwaka huu, zimeongezwa tuzo nyengine tatu kutoka katika tuzo za mwaka jana ili
kuweza kutoa changamoto kubwa zaidi katika tasnia ya mitindo hapa nchini na
ukanda wote wa Afrika Mashariki na Kati. Hivyo kufanya jumla ya tuzo 15 kuwaniwa
mwaka huu kutoka tuzo 12 za mwaka jana.
Tuzo za mwaka huu ni: Best Male Model, Best Female Model,
Best East African Model (Mpya), Designer of the Year, East African Designer of
the Year, Redd’s Stylish Female Personality, Stylish Male Personality,
Innovative Designer, Best Men’s Wear, Fashion TV Program of the Year (Mpya),
Vodacom Fashion Blog of the Year, Fashion Photographer of the Year, Fashion
Journalist of the Year, Best East African Journalist (Mpya), Upcoming
Designer.
Mchakato mzima wa kuchagua mwanamitindo na mbunifu wako
bora kwa mwaka huu wa 2012 unasimamiwa na PUSH Mobile ambapo mpiga kura
atatakiwa kutuma ujumbe mfupi wa Namba ya mshiriki (CODE) unaemkubali na kwenda
kwenye namba 15678, huku mchakato mzima wa kuzihakiki kura hizo utafanywa na
PKF. Lakini pia kura zinaweza kupigwa kupitia blogu maalum ya kupigia kura ya www.sfw2012awards.blogspot.com .
Washindi wote wa Tuzo za Swahili Fashion Week 2012
watatangazwa siku ya ya mwisho ya Maonyesho ya Swahili Fashion Week, jumamosi ya
tarehe 8, Desemba, 2012 katika hoteli ya Golden Tulip, Dar es salaam, Tanzania.
Swahili Fashion Week ni jukwaa kubwa la
mitindo ya mavazi la kila mwaka kati
Swahili Fashion Week 2012 imedhaminiwa
na: Vodacom,
USAID Compete, Origin Africa, EATV, East Africa Radio, Golden Tulip Hotel.
Amarula, Precision Air, 2M Media, Global Outdoor Ltd, Vayle Springs Ltd,
Eventlites, Ultimate Security, BASATA (Baraza La Sanaa Tanzania), Strut It Afrika, Ndibstyles, PKF
Tanzania, DARLING, PUSH Mobile, DarLife, Century Cinemax and 361
Degrees.
Swahili Fashion
Week ni jukwaa kubwa la mitindo ya mavazi la kila
mwaka katika ukanda wa Afrika mashariki na kati kwa sasa. Huu ni mwaka wa Tano sasa, ambapo Swahili Fashion Week
imekuwa ni Jukwaa la wanamitindo na watengeneza vito vya urembo kutoka katika
nchi zinazoongea Kiswahili na bara zima la Afrika kwa ujumla kuweza kuonesha
vipaji, kutangaza ubunifu wao na kukuza mtandao wa mawasiliano ya kibiashara
ndani na nje ya nchi kwa wadau wa mitindo. Hili limelenga kuhamasisha ukanda huu wa Afrika
Mashariki na Kati kwamba ubunifu wa
mavazi ni njia moja wapo ya kujipatia kipato na wakati huo huo kukuza bidhaa
zinazotengenezwa Afrika ( Made in Africa
concept)
Ikiwa imeanzisha uhai na jukwaa la matumaini kwa kilinge cha mitindo
katika ukanda huu, Swahili Fashion Week Swahili Fashion week imelenga kuwa
maonyesho ya ubunifu wa mavazi linaloonekana sana Afrika na hasa kwa ajili ya
soko la kimataifa, lililoundwa, kutengenezwa na kujengwa mwaka 2008 na Mustafa
Hassanali.
Ifikapo mwaka 2013, Swahili Fashion Week ina lengo
la kuwa ni tukio litakalotokea mara mbili kwa mwaka, ambapo kwa kuanza tukio la
kwanza litafanyika nchini Kenya kama sehemu ya kwanza kisha tukio lenyewe kabisa
kufanyika baadae nchini Tanzania kama sehemu ya pili.
Kwa Maelezo Zaidi:
Facebook: www.facebook.com/ swahilifashionweek
Twitter: www.twitter.com/swahilifashion
INSTAGRAM: www.instagram.com/ swahilifashionweek
BB Pin: 2380CDB6
No comments:
Post a Comment