Afisa habari wa mkoa wa Dar es
salaam Bi. Adrofina Ndyeikiza akizungumza na waandishi wa habari leo
jijini Dar es salaam kwa niaba ya mkuu wa mkoa huo kuhusu maadhimisho ya
Siku ya Ukimwi Duniani ambayo kimkoa yatafanyika katika uwanja wa
Biafra, Manispaa ya Kinondoni. Kulia ni Mratibu wa Ukimwi wa Mkoa wa Dar
es salaa kutoka TACAIDS Bw. Omary Chambo.
Mratibu wa Ukimwi wa Mkoa wa Dar
es salaa kutoka TACAIDS Bw. Omary Chambo akitoa ufafanuzi kwa waandishi
wa habari kuhusu hali ya maabukizi ya ugonjwa huo katika jiji la Dar es
salaam na kutoa wito kwa wakazi wa jiji hilo kushirikiana na serikali na
wadau mbalimbali katika kupambana na Ugonjwa huo.Picha na Aron Msigwa -
MAELEZO
No comments:
Post a Comment