Thursday, November 15, 2012

DEREVA WA BODABODA ANUSURIKA KIFO


 Baadhi ya wakazi wa Tabora mjini wakiwa wanampatia msaada dereva wa Bodaboda Kennedy Juma(25)baada ya kupata ajali ya kugongana na pikipiki nyingine eneo la Sikonge Road ambapo katika picha Kennedy anaonekana kupoteza fahamu kwa zaidi ya saa moja kabla ya kupelekwa hospitali ya mkoa wa Tabora Kitete kwa matibabu zaidi.(Picha na Mrisho Juma.....0754 998680)
 

No comments:

Post a Comment