Sunday, November 18, 2012

MAMA ASHA BILAL MGENI RSMI MAONYESHO YA 3 YA WAKE WA MABALOZI DAR


 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa maonyesho ya 3 ya wake wa Mabalozi, yaliyofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Kimataifa 'International School' Masaki leo.
 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akivishwa urembo na Miss Tanzania 2008, Nasreen Karim, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonyesho kwenye maonyesho ya 3 ya wake wa Mabalozi, yaliyofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Kimataifa 'International School' Masaki leo.
 Mama Asha, akijiangalia kwenye kioo baada ya kuvishwa urembo.
 Kinadada wa Ethiopia wakiandaa Kahawa kwa ajili ya wateja wanaopita katika Banda lao kwenye maonyesho hayo.
 Mama Asha, akitambulishwa kwa baadhi ya waandaaji wa maonyesho hayo, Nafka, wakati alipokuwa katika Banda la Ethiopia kwenye maonyesho hayo. 
  Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akiangalia moja ya kitabu kilichokuwa katika banda la maonyesho, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonyesho kwenye maonyesho ya 3 ya wake wa Mabalozi, yaliyofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Kimataifa 'International School' Masaki leo.
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akisikiliza maelezo kuhusu utengenezaji wa Vikapu kutoka kwa mwakilishi wa Kikundi cha Women Craft, Edron Mwaku, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonyesho kwenye maonyesho ya 3 ya wake wa Mabalozi, yaliyofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Kimataifa 'International School' Masaki leo.

No comments:

Post a Comment