Friday, November 16, 2012

WAKALA WA NISHATI VIJIJINI WATOA MAFUNZO NA KUHAMASISHA MATUMIZI YA UMEME WA JUA TABORA


 Baadhi ya wadau wa sekta ya umeme wa jua wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mafunzo ya nishati ya umeme wa jua yanayotolewa na Wakala wa nishati vijiji katika ukumbi wa Georges Pub Tabora mjini.
 Bw,Arfaksad Ezekiel Ndilanha mratibu wa mafunzo ya nishati ya umeme wa jua yanayofanyika mkoani Tabora kwa muda wa siku kumi akitoa taarifa fupi ya mafunzo hayo yenye lengo la kueneza nishati hiyo ya asili kwa wananchi  waishio vijijini.
 Baadhi ya wanafunzi ambao ni wadau wa masuala ya nishati ya umeme wa jua wakiwa wanasikiliza kwa makini katika mafunzo hayo.

No comments:

Post a Comment