Sunday, November 25, 2012

TAWI JIPYA LA BENKI YA NMB NDANI YA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM)

Hili ni moja kati ya matawi mapya kabisa ya Benki ya NMB ambalo lipo ndani ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM). Tawi hili ni jipya na lishaanza kufanya kazi.

No comments:

Post a Comment