Wednesday, November 28, 2012

MAELFU YA WATU WAMZIKA MSANII SHARO MILIONEA KIJIJI KWAO MKOANI TANGA


 Nape akimpa pole Zaina Mkieli Mama wa Hussein Ramadhani, Sharo Milionea, Kijiji cha Lusanga, Muheza Tanga
Baadhi ya wasanii msibani, Lusanga
DC Muheza, Subra Mgalu akisoma salam za EOTF ya Mama Mkapa
Baadhi ya wasanii msibani, Lusanga
 Nape (Watatu kulia, waliobeba jeneza) akishiriki kubeba jeneza lilipofika Lusanga, nyumbani kwa marehemu
 Nape akitoa pole za Chama kwenye mazishi hayo
 Nape akitupa udogo kaburini wakati wa mazishi ya Sharo Milionea, Lusanga, Tanga
 Waombolezaji wakaimsaidia mwenzao aliyepoteza fahamu msibani
 Mwili wa SharoMilionea ukiswaliwa
 Mzee Kingi Majuto akitupa mchanga kaburinu kumzika Sharo Milionea
 Nape, Rais wa Bongo Movies Simon Mwakifwamba, Meneja mahusiano wa kamuni ya Airtel,Jackosom Mbando wakisubiri mwili wa marehemu kuwasili nyumbani Lusango, Muheza.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya a.k.a Bongofleva Hamis Mwinjuma a.k.a Mwana FA akitoa salam kwa niaba ya Wanamuziki wa Bongofleva.
Kutokana na Umati wa Watu kuwa mkubwa wengine ilibidi wapande juu ya minazi ili kushuhudia safari ya mwisho ya Ndugu yetu Sharomilionea.Picha kwa Hisani ya jiachie Blog

No comments:

Post a Comment