Friday, November 16, 2012

Katibu Mkuu Mpya wa CCM Abdulrahman Kinana Aripoti Rasmi Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijinbi Dar es Salaam


KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimia wafanyakazi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijinbi Dar es Salaam, aliporipoti rasmi kazini kwenye ofisi hizo leo asubuhi.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, aliporipoti leo ofisini, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.Picha na Bashir Nkromo-Itikadi na Uenezi,-CCM

No comments:

Post a Comment