Sunday, November 18, 2012

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Atembelea kaburi la marehemu Mzee Abeid Amani Karume


Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, (wa tano kulia) pamoja na viongozi wengine na  wazee wa Chama cha Mapinduzi, Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui, wakiomba dua katika kaburi la marehemu Mzee Abeid Amani Karume, lililopo katika viwanja vya Ofisi hiyo, alipowasili akitokea Dodoma katika mkutano mkuu wa chama hicho  uliomuwezesha kushika nafasi hiyo.

No comments:

Post a Comment