Wednesday, November 7, 2012

BENKI YA NMB NDIO kinara wa ulipaji kodi Tanzania

BENKI YA NMB NDIO kinara wa ulipaji kodi Tanzania

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akimkabidhi zawadi na cheti kwa Ofisa mtendaji mkuu wa NMB bank Mark Wiessing baada ya Bank hiyo kuwa mchangiaji Bora katika kulipa kodi kwa mwaka 2012. Hafla hiyo ilifanyika jana katika ukumbi wa mlimani City Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal, akizindua Vitabu katika maadhimisho ya siku ya mlipa kodi kitaifa yaliyofanyika jana katika ukumbi wa mlimani City Dar es salaam.
Makamu wa Rais Dkt Mohammed Gharib Bilal akihutubia kwenye mkutano wa sita katika maadhimisho ya siku ya mlipa kodi kitaifa yaliyoadhimishwa jana  katika ukumbi wa Mlimani City Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzainia Dkt. Mohammed Gharib Bilal katikati akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano wa sita wa maadhimisho ya siku ya mlipa kodi kitaifa yaliyoadhimishwa jana katika ukumbi wa mlimani City Dar es salaam

No comments:

Post a Comment