Tuesday, November 13, 2012

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA HALMSHAURI KUU DODOMA


Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua kikao cha Halmashauri kuu ya CCM Taifa mjini Dodoma leo usiku.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Rais Mstaafu awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa,Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ) Dkt.Ali Mohamed Shein,Rais Mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume, Katibu Mkuu wa CCM Dkt.Wilson Mukama na kulia ni Makamu mwenyekiti CCM Bara Ndugu Pius Msekwa.Ajenda kuu ya kikao hicho ni maandalizi ya mkutano Mkuu wa CCM utakaoanza kesho.
Mwenyekiti wa CCM Taifa,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa Halmshauri Kuu ya CCM Taifa mjini Dodoma leo usiku.
Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM taifa,Mhe.Mama Salma Kikwete , Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe na Ridhwani Kikwete wakijadiliana jambo muda mfupi kabla ya ufunguzi rasmi wa mkutano wa Halmashuari kuu ya CCm taifa katika jengo la White House, mjini Dodoma leo.
Baadhi ya Wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM Taifa wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Halmshauri hiyo uliofanyika katika ukumbi wa White House leo usiku mjini Dodoma.picha na Freddy Maro.

No comments:

Post a Comment