Sunday, December 23, 2012

HUKO NJE YA UKUMBI YA UCHAGUZI WAGOMBEA MATUMBO JOTO


 Baadhi ya wadau wa soka mkoani Tabora  wakiwa wameketi nje ya ukumbi wa uchaguzi wakisubiri mchakato wa uchaguzi ufanyike.
Baadhi ya wagombea wa nafasi ya Uenyekiti na katibu wakiwa nje ya ukumbi wakisubiri kuitwa ukumbini kwa ajili ya kujieleza na kuomba kura kwa wajumbe,kushoto ni Yusuph Kitumbo mgombea nafasi ya Mwenyekiti na Fath Dewij nafasi ya Katibu mkuu Tarefa.

No comments:

Post a Comment