Sunday, December 23, 2012

ZIZZOU FASHION YATOA MSAADA WA VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU ZA MPIRA WA MIGUU TABORA


 Mwakilishi wa kampuni ya Zizzou Fashion Hamisi Murad akikabidhi seti za jezi kwa mwalimu wa mpira wa miguu wa timu ya Chipukizi ya mkoani Tabora Didas Kunde,makabidhiano yaliyofanyika katika viwanja vya Chipukizi.
 Katibu wa timu ya Veteran ya mkoani Tabora akipokea seti ya jezi 16 kwa ajili ya timu yake zilizotolewa na kampuni ya Zizzou Fashion

No comments:

Post a Comment