Sunday, December 23, 2012

MKUTANO MKUU WA 20 WA WETCU WAFANYIKA LEO MKOANI TABORA

 Baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu wa 20 wa Chama Kikuu cha Ushirika wa  wakulima tumbaku mkoani Tabora Wetcu wakisikiliza kwa makini mkutano huo ambao umeanza kwa Semina elekezi katika ukumbi wa Chuo cha Utumishi wa Umma Uhazili. 
 Makamu Mwenyekiti wa Wetcu Bw.Ilamata Mrisho akifungua semina elekezi kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa 20 wa Chama hicho.


No comments:

Post a Comment