Tuesday, December 25, 2012

KALUNDE BAND WANOGESHA MKESHA WA KRISMASS RAINBOW MBEZI

Mkurugenzi wa bendi ya Kalunde Deo Mwanambilimbi akiimba sambamba na Mwapwani mmoja wa waimbaji wa bendi hiyo katika onesho la bendi hiyo lililofanyika wakati wa mkesha wa Krismas kwenye ukumbi wa Rainbow Mbezi jijini Dar es salaam, ambapo watu mbalimbali walijitokeza katika onesho hilo.
Mwimbajiwa bendi ya Kalunde Makey Fanta akifanya vitu vyake jukwaani katika mkesha wa krismass jijini Dar es salaam
Kalunde band wakiwajibika jukwaani.
Waimbajiwa bendi ya Kalunde wakifanya vitu vyao jukwaani kutoka kulia ni Devotha Nyalusi,Remmy na Mwapwani.
Mwanamuziki Deo Mwanambilimbi wa pili kutoka kushoto akiongoza kundi zima la bendi hiyo wakati lilipotumbuiza katika mkesha wa krismass kwenye ukumbi wa Rainbow Mbezi jijini Dar es salaam

No comments:

Post a Comment