Sunday, December 23, 2012

UVCCM TABORA YAVUNA KUNDI LA VIJANA


 Baadhi ya vijana wa Tabora mjini wakila kiapo cha kujiunga na Jumuiya ya Umoja wa Vijana manispaa ya Tabora wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa kundi la Sanaa la Nuru lililopo kata ya Ng'ambo manispaa ya Tabora.
 Meya wa manispaa ya Tabora Bw.Ghulam Dewij akizungumza wakati wa uzinduzi huo ambapo alitumia fursa hiyo kuwataka vijana kuepuka majungu na badala yake watumie muda huu kubuni mbinu mbalimbali na kuchangamkia fursa za  kujikwamua kimaisha.

 Mwenyekiti wa UWT wilaya ya Tabora mjini Bi.Joyce akiinua mkono wa kulia ishara ya kiapo cha utii katika Chama cha Mapinduzi.
Baadhi ya wanajumuiya ya Uvccm wakionekana kuwa ni wenye furaha wakati wote.

No comments:

Post a Comment