Monday, December 17, 2012

TAMASHA LA SHANGWE LAFANA MJINI BUKOBA

 Mwimbaji wa Nyimbo za Injili,Rose Muhando akitumbuiza kwenye Tamasha la shangwe Kagera katika uwanja wa Kaibata mjini Bukoba mwishoni mwa wiki,tamasha hilo lililoandaliwa na Kampuni ya Beula Communication kwa ajili ya kusaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu katika mkoa wa kagera.
 Mwimbaji wa Nyimbo za Injili,Enock Jonas(Zunguka) akitumbuiza kwenye Tamasha la shangwe Kagera katika uwanja wa Kaibata mjini Bukoba mwishoni mwa wiki,tamasha hilo lililoandaliwa na Kampuni ya Beula Communication kwa ajili ya kusaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu katika mkoa wa kagera.
 Masista wa Kituo cha Tumaini Children’s Centre, Sr.Adventina Kyamanywa (kushoto) na Sr.Esther  wakijadiliana jambo  wakati wa tamasha la shangwe Kagera katika viwanja vya Kaitaba mjini Bukoba.
Mkurugenzi wa Beula Communication, Melkzedek  Mutayabarwa akizungumza kwenye Tamasha laShangwe Kagera,ambapo kampuni hiyo ndio iliyoandaa tamasha hilo.  
Mkuu wa Wilaya  Bukoba,Zippora Pangani akihutubia kwenye  Tamasha la shangwe Kagera katika uwanja wa Kaibata mjini Bukoba mwishoni mwa wiki,tamasha hilo lililoandaliwa na Kampuni ya Beula Communication kwa ajili ya kusaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu katika mkoa wa kagera.
 Waimbaji wa kwaya ya Vijana ya KKKT Usharika wa kanisa Kuu la Mjini Bukoba wakitumbuiza kwenya tamasha la Shangwe Kagera.
Rose Muhando akiwaburudisha viongozi walioudhuria Tamasha la Shangwe Kagera katika Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.

No comments:

Post a Comment