Sunday, December 23, 2012

VIONGOZI WA VYAMA VYA USHIRIKA WATAKAOBAINIKA KUFANYA UBADHIRIFU WATAFIKISHWA MAHAKAMANI-RC FATMA MWASSA


 Mkuu wa mkoa wa Tabora Bi.Fatma Mwassa akizungumza na wajumbe wa mkutano mkuu wa 20 wa Chama kikuu cha Ushirika wa wakulima wa Tumbaku kanda ya Magharibi Wetcu,ambapo alitumia fursa hiyo kuwataka viongozi wa vyama vya ushirika kutojaribu kufanya ubadhirifu kwa mali na fedha za wanachama wao vinginevyo watafikishwa mahakamani. 
Baadhi ya wanachama wa Wetcu wakimsikiliza mkuu wa mkoa wa Tabora wakati akitoa hotuba yake katika mkutano huo mkuu wa 20 uliofanyika ukumbi wa Chuo cha utumishi wa Umma Uhazili.

No comments:

Post a Comment