Sunday, December 23, 2012

UCHAGUZI MKUU CHAMA CHA MPIRA WA MIGUU TABORA TAREFA


 Baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu wa Tarefa wakisubiri kuanza kupiga kura ili kuwapata viongozi watakaoongoza Soka la mkoa wa Tabora,mkutano huo unafanyika katika ukumbi wa Mamlaka ya maji Safi Tuwasa.
Mjumbe wa kamati ya uchaguzi ya TFF Moses Kaluwa akijitambulisha mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu wa uchaguzi wa Chama cha mpira wa miguu mkoani Tabora Tarefa.

No comments:

Post a Comment