Sunday, December 23, 2012

MTOTO WA MWAKA MMOJA AFIA KWENYE DIMBWI LA MAJI, ISEVYA TABORA MJINI


Mwili wa mtoto Mohammed Sila(1) aliyefariki katika dimbwi la maji huko maeneo ya Isevya manispaa ya Tabora.  
 Mama mkubwa wa mtoto huyo Tatu Mmasi ambaye alipoteza fahamu baada ya kuona maiti ya mtoto huyo katika chumba cha kuhifadhia maiti hospitali ya mkoa wa Tabora Kitete.

No comments:

Post a Comment