Wednesday, December 5, 2012

WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU WAPATA MAFUNZO JIJINI DAR.

 Watetezi  wa haki za binadamu  kutoka nchi mbali mbali Afrika  wakiwa katika mafunzo maalum ya matumizi ya mitandao  ya Facebook ,Twitter ,Blog .n.k
Baadhi ya watetezi wa haki za binadamu wakiwa katika viwanja vya Whitesand Hotel wakati wa mapumziko katika mafunzo hayo.

 

No comments:

Post a Comment