Sunday, December 23, 2012

KURA ZIMEPIGWA NA KUHESABIWA TAYARI


 Baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu wa Tarefa wakiendelea kupiga kura

Baadhi ya wadau wa soka mkoa wa Tabora nao walikuwa na shauku ya kutaka kujua nini kinachojiri katika chumba cha mkutano huo wa uchaguzi,wengine walishindwa kuzuia hisia zao wakalazimika kuchungulia madirishani 
 Kura zinahesabiwa!!!!

No comments:

Post a Comment