Sunday, December 2, 2012

MAAFISA WAANDAMIZI 42 WA JESHI WAHITIMU MAFUNZO YA UNADHIMU

Waziri wa ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe Shamsi Vuai Nahodha akiwa katika picha ya pamoja na maofisa waandamizi  42 wenye vyeo vya meja hadi kanali wa nchi za ukanda wa afrika mashariki  na nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika SADC  pamoja na viongozi mbalimbali wa jeshi mara baada ya kuhitimu mafunzo ya unadhimu katika chuo cha ukamanda na unadhimu (CSC) Arusha leo. Picha na Woinde Shizza

No comments:

Post a Comment