Saturday, December 1, 2012

Taasisi ya Catherine Magige Foundation yazinduliwa jijini Arusha leo


Mbunge wa viti maalum vijana CCM mkoani Arusha  Catherine Magige akiwa na baadhi ya vijana wakibadilishana mawazo kabla ya uzinduzi  ulioenda sambamba na hafla  ya utoaji wa msaada wa baiskeli za walemavu  kutoka kwa Taasisi ya  Catherine Foundation kwenye viwanja vya ofisi ya mkuu wa wilaya ya Arusha leo Asubuhi.
Mbunge wa viti maalum Bi Catherine Maggige akisomama taarifa ya aasisi  yake ilivyoanza kazi mbele ya mgeni rasmi mkuu wa wilaya na wananchi waliohudhuria uzinduzi huo wa Catherine Foundation kwenye ofisi ya mkuu wa wilaya ya Arusha leo Asubuhi
Mkuu wa wilaya ya Arusha John Mongela akiwa na mbunge wa viti maalum Bi. Catherine Maggige wanawakabidhi zawadi ya baiskeli kwa  walemavu watatu kwa niaba ya walemavu 20 waliopewa baiskeli hizo.
Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mh. John Mongela akizungumza na vyombo vya habari katika uzinduzi huo uliofanyika  jijini ArushaPicha na Mahmoud Ahmad Arusha

No comments:

Post a Comment