




Mtumishi
wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Gladness Mangelele akitoa maelezo
mbele ya Waziri Dk. Mwakyembe baada ya kuhusishwa katika sakata hilo
ambapo alidai alikuwa hajui chochote kwani alikuwa akitekeleza majukumu
yake ya kawaida katika idara yake.

funga akaunti zao zote hakuna kutoa pesa,halafu wote kizimbani.
ReplyDelete