Thursday, October 18, 2012

42 WAHITIMU CHUO KIKUU HURIA TABORA


 
 Mkurugenzi Chuo Kikuu Huria Tabora Adolphina Massaba akitoa maelezo mafupi kuhusu chuo hicho katika mahafali yaliyofanyika katika uwanja wa Chuo cha Reli Tabora.


 Baadhi ya wahitimu wa kozi mbalimbali Chuo Kikuu Huria Tabora wakiwa katika mahafali ambapo jumla ya wahitimu 42 walipatiwa vyeti.
 Mkuu wa mkoa wa Tabora Bi.Fatma Mwassa akihotubia katika mahafali Chuo Kikuu Huria Tabora.
 Mmoja wa wahitimu Chuo Kikuu Huria Bw.Evans Binya

No comments:

Post a Comment