YANGA YAITANDIKA RUVU SHOOTING MAGOLI 3-2 UWANJA WA TAIFA
Mashabiki
wa timu ya Yanga wakizikilizaia maumivu wakati timu yao ilipokuwa iko
nyuma kwa magoli 2-0 dhidi ya Ruvu Shooting kabla ya kukomboa magoli
hayo na kuongeza goli la tatu katika kipindi cha pili.Picha Kwa Hisani ya Full Shangwe Blog
No comments:
Post a Comment