Thursday, October 25, 2012

NMB YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM)


Meneja wa NMB Kanda ya Kati Bi. Lilian Mwinula (wa pili kulia) akikabidhi vifaa mbali mbali vya michezo vyenye thamani ya shilingi milioni 10 kwa ajili ya Bonanza kwa Makamu Mkuu  wa Chuo cha Dodoma Prof. Idris Kikula mkoani Dodoma. Akiangalia (kulia) ni Meneja NMB UDOM Bw. Alex Mpagama.

No comments:

Post a Comment