Sunday, October 21, 2012

JAMAA APATA KIPIGO BAADA YA KUMBAKA BINTI - CHEMCHEM TABORA


 

 Majira ya saa mbili usiku wananchi wenye hasira kali wamtembezea kipigo jamaa huyu mwenye asili ya kiasia baada ya kudaiwa walimkuta anambaka mtoto wa kike maeneo ya kata ya Chemchem mjini Tabora.

Huyu binti pembeni ya mama huyu ndiye aliyebakwa na jamaa huyo mwenye asili ya kiasia.

No comments:

Post a Comment