KAMPUNI YA SIMU YA TIGO YAZINDUA HUDUMA YA (Tigo Prepaid Internationl Roming)
by John Bukuku on October 25, 2012
Afisa
masoko wa kampuni ya Tigo(kushoto)Bi. Jaequline Nnunduma akiongea na
waandishi wa habari jana kwenye Hotel ya Southen Sun jijini Dar es
salaaam wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya Tigo Prepaid Internationl
Roming ambapo wateja wanaotumia huduma za malipo ya kabla wataweza
kuwasiliana kutumia namba zao za tigo wakiwa katika nchi za Africa
mashariki kwa bei nafuu kupitia huduma ya Tigo Prepaid Internationl
Roming nchi hizo ni Kenya Uganda na Rwanda katikati ni Afisa uhusiano
wa Tigo Bi.Tuli Mwaikenda(kulia)meneja wa bidhaa za simu za kimataifa
Tigo Bi. Mwajuma Mwenda
Baadhi ya waandishi wa habari walioudhuria katika uzinduzi huo jana PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWEBLOG.COM
No comments:
Post a Comment