Wednesday, October 24, 2012

MJUMBE WA NEC JOHN MCHELE AFANYA SHEREHE YA SHUKRANI


 Mjumbe wa NEC Bw.John Mchelle akijaribu kumtambulisha mkewe katika hafla hiyo iliyofanyika Ipuli
 Baadhi ya waheshimiwa madiwani wa halmashauri ya Tabora
 Mjumbe wa NEC ya CCM Bw.John Mchelle akizungumza katika hafla hiyo ambayo ilikuwa na lengo la kutoa shukrani baada ya kuchaguliwa kushika wadhifa huo.
 Mdau Nassor Wazambi alinaswa na kamera ya KAPIPIJhabari.COM katika hafla hiyo
 WADAU MUHIMU WA MAENDELEO NAO WALIHUDHURIA KATIKA SHEREHE
 Mgeni rasmi katika hafla hiyo Bw.Moshi Abraham Nkokota akizungumza katika hafla hiyo
 Mkurugenzi wa kampuni ya usafirishaji  ya SuperSonic Bw.Humud Nassor akiwa katika picha ya pamoja na Mjumbe wa NEC Bw.John Mchelle na mtangazaji wa Radio V.O.T Bw.Vituko Salala.
 Wadau makamanda wa CCM wakijadili jambo wakati wa hafla hiyo.
 Mjumbe wa NEC ya CCM Bw.John Mchelle akimkaribisha mgeni rasmi Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Tabora Bw.Moshi Abraham Nkokota.
 Makamu Mwenyekiti wa TCCIA Bw.Renatus Lupori akizungumza katika hafla hiyo.
 Mkurugenzi wa Hotel ya Golden Eagle Tabora akiwa na familia yake wakiwa wamehudhuria katika hafla hiyo.


 Mkurugenzi wa Temihill Prep & Primary School Bw.Mambo alikuwa ni mmoja kati ya wageni waalikwa katika hafla hiyo.
 Bw.William Masubi akisikiliza kwa makini hotuba ya mgeni rasmi katika hafla.



Mgeni rasmi Bw.Moshi Abraham ambaye pia ni mkurugenzi Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Tabora mjini akiwa anazungumza na Bw.John Mchelle pamoja na makamu Meya wa Manispaa ya Tabora.

No comments:

Post a Comment