Sunday, October 21, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO MKUU WA NANE WA JUMUIYA YA UMOJA WA WANAWAKE TANZANIA (UWT) MJINI DODOMA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa akifungua mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) uliofanyika leo katika ukumbi wa Chuo cha Mipango, mjini Dodoma, sambamba na uchaguzi wa Mwenyekiti wa UWT Taifa.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma leo kwa ajili ya kufungua mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) uliofanyika sambamba na uchaguzi wa Mwenyekiti wa UWT Taifa.
 Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UWT waliohudhuria mkutano huo leo katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma.
 Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UWT waliohudhuria mkutano huo leo katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma.
 Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiteta jambo na Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake Tanzania, (UWT) Taifa, anayemaliza muda wake, Sophia Simba, wakati wa ufunguzi wa mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) uliofanyika leo, sambamba na uchaguzi wa Mwenyekiti wa UWT Taifa.
 Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake Tanzania, (UWT) Taifa, anayemaliza muda wake, Sophia Simba, (katikati) na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Pius Msekwa wakifurahia jambo wakati wa ufunguzi wa mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) uliofanyika leo, sambamba na uchaguzi wa Mwenyekiti wa UWT Taifa.
 Baadhi ya wake wa Viongozi, wakiwa ukumbini humo wakati wa ufunguzi huo wa mkutano Mkuu wa  nane wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) uliofanyika leo, sambamba na uchaguzi wa Mwenyekiti wa UWT Taifa.
 Baadhi ya wake wa Viongozi, wakiwa ukumbini humo wakati wa ufunguzi huo wa mkutano Mkuu wa  nane wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) uliofanyika leo, sambamba na uchaguzi wa Mwenyekiti wa UWT Taifa.
 Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UWT waliohudhuria mkutano huo leo katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma.
 Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UWT waliohudhuria mkutano huo leo katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya wake wa viongozi wakati akiondoka ukumbini hapo leo, baada ya kufungua mkutano huo.

No comments:

Post a Comment