Thursday, October 25, 2012

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAZI CHA SIKU TATU CHA BARAZA LA MAWAZIRI NA MAAFISA WAANDAMIZI WA SERIKALI DODOMA


Wajumbe wakichangia katika kikao cha kazi cha siku tatu cha Mawaziri, Manaibu Mawaziri na maafisa waandamizi wa serikali wanaokutana kujadili mikakati endelevu na utekelezaji wa sasa na wa baadae  ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma.Picha Na Ikulu

No comments:

Post a Comment