Sunday, October 21, 2012

MADUKA YAMEFUNGWA SAA 10 JIONI,HOFU KUBWA YATANDA,WAISLAM WAJIFICHA MISIKITINI JIJINI DAR-ES-SALAAM

 Huu ni mtaa wa Kongo, hakuna watu hapa na wala hakuna hatari ya kuibiwa fedha mfukoni


 Mitaa ikiwa wazi baada ya watu kuondoka







 Magari ya maaskari

 Wanafunzi wa Benjamin Mkapa wanaofanya mitihani.dhahiri vurugu hizi zimewaathiri


Maduka yamefungwa tangia mchana na watu wameondoka nyumbani.picha hizi zimepigwa saa 10 jioni.waislamu wamejificha msikitini,maaskari ni wengi sana,mikusanyiko hairuhusiwi,na mabomu yanarushwa mara kwa mara kutawanya vikundi vya watu

No comments:

Post a Comment